Search

552 results for Clezencia Tryphone :

  1. Try Again atuliza mashabiki Simba

    KIKOSI cha Simba kipo angani kuelekea Botswana kuwavaa Jwaneng Galaxy Jumamosi. Mabosi wa klabu hiyo wamewahakikishia raha inarejea baada ya kutua kocha mkuu mpya, Abdelhak Benchikha. Benchikha...

  2. PRIME Samasoti ni hatari zaidi kwa afya za wachezaji

    WACHEZAJI wa soka wametakiwa kuzingatia afya zao kwa kuwaona wataalamu wa afya mara kwa mara ili kuepusha madhara juu yao wawapo uwanjani na kuacha aina hii ya ushangiliaji ambayo inaweza...

  3. Komba amkuna mwamuzi mkongwe

    MWAMUZI wa zamani wa soka nchini, Isihaka Shirikisho amesema anavutiwa na jinsi mwamuzi wa sasa Frank Komba anavyojituma na kuifanya kazi yake kwa ufanisi akiwataka waamuzi chipukizi kuiga mfano...

  4. Makocha hawa ukizingua, wanakuzingua!

    RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan aliwahi kunukuliwa kwenye hotuba zake, akiwaambia wasaidizi wake akisema; ‘Ukinizingua tunazinguana? Ikiwa ni njia ya kuwakumbusha kufanya kazi zao kwa...

  5. Cadena aanza kuona mwanga Simba

    KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Daniel Cadena amesema kwa namna wachezaji wa timu hiyo walivyocheza dhidi ya Namungo jana imempa picha namna wanavyoyafanyia kazi wanayowaelekeza mazoezini na anaamini...

  6. Nani atawarithi hawa Simba?

    NI misimu sita sasa Simba imekuwa katika pata shika nguo kuchanika ya wingu la makocha ambao wanaingia na kushindwa kudumu. Ndani ya miaka hiyo makocha wanane wamekalia benchi kuu la timu hiyo...

  7. Simba, Namungo zagawana pointi

    BAO la kusawazisha la mshambuliaji wa Simba, Jean Baleke limeihakikishia timu hiyo pointi moja baada ya kutoka sare ya 1-1 na Namungo FC kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar. Baleke ameendeleza rekodi...

  8. Kibu nje, Onana aanza Simba vs Namungo

    MSHAMBULIAJI ambaye amekuwa gumzo kwa mashabiki ndani ya kikosi cha Simba Willy Onana amepewa majukumu ya kuimaliza Namungo katika mchezo wa leo. Simba ni mwenyweji wa Namungo mchezo unaoanza...

  9. Namungo wanataka pointi kwa Simba

    NAHODHA wa Timu ya Namungo, Jacob Massawe amesema licha ya Simba kuwa bora lakini wasitarajie mchezo mwepesi kutoka kwao kutokana na namna walivyokuwa na kiu ya matokeo mazuri kwa sasa. Namungo...

  10. Maxi, Ngoma wapewa Dabi

    DABI ya Kariakoo inapigwa kwenye Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam, Jumapili kuanzia saa 11:00. Mastaa wa zamani wenye uzoefu na mchezo huo wamesema eneo la kiungo likiongozwa na Maxi Nzengeli na...

Page 1 of 56

Next